Jux Amtaja Msanii Pekee Anayeweza Kumlipa Kwa Ajili ya Kufanya Nae Collabo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jux Amtaja Msanii Pekee Anayeweza Kumlipa Kwa Ajili ya Kufanya Nae Collabo.

Kama unasubiri collabo ya Jux na msanii wa nje basi unaweza anza kumfikilia Beyonce.

Jux amefunguka kuwa yupo tayari kumlipa Beyonce ili apige naye collabo
“Msanii ambaye naweza nikalipia collabo yake ni Beyonce” Jux ameiambia FahamuTv “Inaweza kuwa collabo inayoweza nipeleka sehemu flani kwasababu itakuwa na impact kubwa, ni mtu ambaye ana fanbase kubwa anaangaliwa sana na anaweza pia kuimba na kimuziki yupo vizuri”

Jux amesema sabau kubwa ya collabo ni kumfikisha sehemu fulani na kutanua zaidi muziki wake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.