Idris Sultan Afuta Akaunti Yake Kwenye Mtandao Wa Instagram - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Idris Sultan Afuta Akaunti Yake Kwenye Mtandao Wa Instagram

Sahau kuhusu staa wa Marekani, Justin Bieber kufuta akaunti yake Instagram iliyokuwa na Followers zaidi ya Million 77 sababu mashabiki walimshambulia mpenzi wake mpya, Idris Sultan na yeye amefuta Akaunti yake.

Mshindi huyo wa Big Brother mwaka 2014, amefuta akaunti yake ya Instagram August 17 2016, Bila kuweka wazi sababu lakini kabla ya kufuta Akaunti hiyo ‘verified’ na iliyokuwa na followers 1.3 M Idris alikuwa akirushiana mabomu na mpenzi wake, Wema Sepetu .
Mwaka 2015 Muigizaji, Elizabeth ‘Lulu’ Micahel pia alijitoa kwenye mitandao kwasababu binafsi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.