Drake na Rihanna ni Wapenzi ? Ona Video Hii Inayothibitisha Na Kumaliza Utata. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Drake na Rihanna ni Wapenzi ? Ona Video Hii Inayothibitisha Na Kumaliza Utata.

July 31 rapa Drake na rnb staa Rihanna wamefanya show kali kwenye ziara za Drake za OVO kwenye ukumbi wa Air Canada huku wakiwaacha mashabiki wao na misemo kama KWELI HAWA NI WAPENZI.
Ukaribu wao wakati wanaimba nyimbo zao “Work” na “Too Good.” umethibitisha kuwa wawili hawa tayari wamerudiana na mapenzi yao kwa sasa ni moto moto.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.