Chicharito Kukosa Mechi za Ufunguzi wa Ligi ya Bundesliga - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chicharito Kukosa Mechi za Ufunguzi wa Ligi ya Bundesliga

Mshambuliaji Mexico na klabu ya Bayern Leverkusen Javier Hernandez “Chicharito” atakosa mechi za ufunguzi wa ligi Bundesliga atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 2 baada ya kuanguka katika ngazi nyumbani kwake na kuumia katika mkono wake wa kulia.

Chicharito amefanyiwa upasuaji siku ya jumanne na anataraji kukosa mechi ya ufunguzi wa msimu mpya watakayocheza dhidi ya Borussia Monchengladbach jumamosi hii.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.