Breaking News: Waziri Aagiza Dr. Mwaka Akamatwe na Polisi Ndani ya Saa 24. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Waziri Aagiza Dr. Mwaka Akamatwe na Polisi Ndani ya Saa 24.

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kumkamata Dk Mwaka na kumpeleka mahakamani, baada ya kukiuka amri halali ya serikali ya kumtaka kuacha shughuli za utabibu wa kidaktari wa tiba za kisasa, pamoja na kuwa na shehena ya dawa za tiba asili licha ya kupigwa marufuku na baraza la tiba asili.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.