Video: Ona Hapa Kitu Alichofanya Jay Z kwa Baby Mama Wake, Ni Noma. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Ona Hapa Kitu Alichofanya Jay Z kwa Baby Mama Wake, Ni Noma.

Rapper Jay Z ameonyesha ni jinsi gani mwanaume unavyotakiwa kumcare mpenzi wako mnapokuwa kwenye matembezi, Jay Z amemzuia shabiki wa Beyonce baada ya kumkimbilia kwa ajili ya kupiga naye selfie.

Tukio zima lilichukuliwa na mtandao wa Tmz baada ya Jay Z na Beyonce kutoka katika jumba la sinema New York City’s SVA siku ya jumatatu ambapo moja ya shabiki wa Beyonce alikuwa akimsogelea kupiga naye selfie ndipo mkono wa Jay z ukaonekana ukimvuta nyuma shabiki wa beyonce, hii nikuonyesha jinsi gani Jay z anavyomjali mpenzi wake.

Tazama hapa video ya Jay z akionyesha care kwa baby mama wake.
Mwaka huu pia umekuwa wa mafanikio kwa Jay Z baada ya kuchaguliwa katika vipengele vitano vya tuzo za BET HIPHOP, na hii imetokana baada ya kufanya vizui na Dj Khaled pamoja na Future kwenye ngoma ya “I got Keys”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.