Barakah Da Prince: Mr Blue Anapotaka Twende Sasa Tutafika ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Barakah Da Prince: Mr Blue Anapotaka Twende Sasa Tutafika !

Series ya sinema ya Mr Blue na Barakah Da Prince inayomhusu Naj imeendelea, ni zamu ya hitmaker wa Siwezi kuongea.

Akiongea na 255 ya Clouds FM Alhamisi hii, Barakah da Prince amesema kuwa hajawahi kuongea kuhusu Blue kumpigia simu Naj na kwamba ni kitu kipya kwake.

“Namuona kabisa yule mwana anataka kukosa heshima, ananikosea heshima halafu anashindwa kurespond heshima ambayo mimi huwaga nampa. Kwahiyo anapotaka twende sasa tutafika huko anapotaka yeye,” amesema muimbaji huyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.