Zari na Diamond Wanategemea Mtoto wa Pili, Mambo Yapo Wazi Sasa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari na Diamond Wanategemea Mtoto wa Pili, Mambo Yapo Wazi Sasa.

Baada ya kuwepo tetesi na maneno ya chini kwa chini kuhusu mpenzi wa Diamond Platnumz pia mzazi mwenza Zarinah Hassan kuwa mjamzito hivi juzi wawili hao wameamua kuweka wazi na kuthibitisha kuwa ni kweli Zari ana mimba na wanategemea mtoto wa kiume kama maandishi kwenye picha hapo juu yanavyoeleza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.