Wolper Adai Picha ya Utupu Haikumshtua Mpenzi Wake 'Harmonize' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wolper Adai Picha ya Utupu Haikumshtua Mpenzi Wake 'Harmonize'

Juzikati ilisambaa picha ya kutengenezwa inayomuonesha msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akifanya uchafu na mwanamke mwenzake jambo lilotafsiriwa kuwa huenda likatibua uhusiano wake na ‘baby’ wake Rajab Abdulhan ‘Harmonize’.

Akiizungumzia picha hiyo, Wolper alisema alishangaa kuiona lakini haijampa presha na hata mpenzi wake hakumaindi kwa kuwa walijua imetengenezwa na watu wasiowatakia mema.

“Ile picha iko wazi kwamba imetengenezwa, walioisambaza walikuwa na lengo la kunidhalilisha na kuniharibia kwenye penzi langu bila kujua kwamba mpenzi wangu ni muelewa,” alisema Wolper.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.