Video: Tiwa Savage ft Wizkid – Bad - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Tiwa Savage ft Wizkid – Bad

Baada ya kutambulishwa rasmi katika lebo ya Rocnatin ya mtu mzima Jay Z mwanadada Tiwa Savage kutoka Nigeria ameiachia hii hapa video yake mpya akiwa amemshirikisha mkali mwingine kutoka nchini humo Wizkid. Ngoma inakwenda kwa jina la Bad na nimekualika hapa ufurahike nayo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.