Video: Peter Okoye Aomba Radhi na Kutangaza Kurudi kwa P-Square, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Peter Okoye Aomba Radhi na Kutangaza Kurudi kwa P-Square, Ipo Hapa


Baada ya miezi kadhaa ya mfarakano wa ndani kwa ndani, kundi la P-Square limerejea. Member wa kundi hilo, Peter Okoye ametangaza kuwa wamemaliza tofauti zao na yote yaliyopita wameyaacha yapite. Peter amedai kuwa walijaribu kila mmoja kushika njia yake lakini wameshindwa.
Amewaomba radhi mashabiki wao na kusema anawajibika kwa yaliyotokea. Pia ametangaza kumrejesha kaka yao, Jude Okoye kama meneja wao.
Soma zaidi hapo chini alichoandika Peter kwenye Instagram:
“My dear fans, P-Square is back. Ours is a journey that started from our mother’s womb. It was a journey that started from Primary School, continued to St. Murumba College, to when we were in University in Abuja. It was a journey in which we shared childhood memories and grown-up dreams. We are back because brothers do not let each other wander in the dark alone. We are back because we have tried the lonely road and it was not the same.
I want to take responsibility for what has happened and sincerely apologise to you our fans. For supporting us throughout this journey we owed you so much more than what you have had to endure and I apologise for that. We are embarking now on a new journey with exciting new management (Jude Okoye), new music and new ideas.
We cannot thank you enough for all your prayers and support throughout this difficult period. Maya Angelou once said that brotherhood is a condition that people have to work at. We will continue to work on that and you can be prepared to be blown away by this new phase of P-Square.
God bless you all and be assured that you have not seen anything yet!
Peter Okoye
P-Square”
Ikikumbukwa kuwa siku nne zilizopita, Peter kupitia account yake ya Instagram aliweka picha isemayo “Keep Calm and I will fix”, Picha ambayo ilipata comment nyingi zilizo wapa imani mashabiki wa mastaa hawa kuwa P-Square inarudi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.