(TCU) imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

(TCU) imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17


Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;

1. International Medical and Technological University (IMTU) – Kozi zote.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – Kozi zote.
3. University of Bagamoyo (UoB) – Kozi zote..
4. St. Joseph University of Engineering (SJUCET) – Kozi zote..
5. University of Dodoma (UDOM) – Kozi ya udaktari
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Kozi ya udaktari

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.