Shule Kumi Bora na Kumi Zilizofanya Vibaya Matokeo Kidato cha Sita 2016 Hizi Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shule Kumi Bora na Kumi Zilizofanya Vibaya Matokeo Kidato cha Sita 2016 Hizi Hapa.

Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa.

Ubora wa shule umepagwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7.

Aidha, upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa:


Shule 10 Bora Kitaifa
1. Kisimiri (Government)

2. Feza Boys (Private)

3. Mwanza Alliance Girls (Private)

4. Feza Girls (Private)

5. Tabora Boys (Government)

6. Marian Boys (Private)

7. Kibaha (Government)

8. Mzumbe (Government)

9. Ilboru (Government)

10. Tandahimba (Private)

Shule 10  za  Mwisho Kitaifa
1.Mpendae (Unguja)

2.Ben bella ( Unguja)

3.Tumekuja (Unguja)

4.Green Bird Boys (Kilimanjaro)

5.Jang'ombe (Unguja )

6.Kiembesamaki (Unguja )

7.Tanzania Adventist ( Arusha )

8.Al-Ihsan Girls ( Unguja )

9.Azania (Dar es salaam )

10: Lumumba (Unguja)

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.