Raymond Adai Ubachela Unataka Moyo, Ashauriwa Asiingie Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Raymond Adai Ubachela Unataka Moyo, Ashauriwa Asiingie Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi

Muimbaji huyo wa WCB ambaye hajawai kuweka wazi mahusiano yake ya mapenzi, ameshauriwa na mashabiki wake kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuacha kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kwa sasa.
Kupitia instagram, Raymond aliandika:
Sifa ya bachela kujijali mwenyewe, inataka moyo maana wenzangu wanavalishwa kabisa kama midoli ya dukani lol.
Baada ya kauli hiyo mashabiki wake katika mitandao ya kijamii walitoa maoni haya.

Tgmmichael12

Ucwe na haraka nayo timiza malengo yko ulopanga muda ukion ss natka mupenz n ww kmsaka
Raphaelmilimo
Ahaahahaha safi sana kaka wee komaa na game kwanza achana na hao mashuga mommyzii. Husiwe kama hurmonize kupenda jitu kubwa lilokubuu na kudate
Enijulius
jmn hujatakaa kuwa naee though co sifaa Kama haujawa tayar wala ucwe na haraka mwaya @rayvanny

sarahpaul6650

Cha msingi muombe Mungu mbn utavishwa tu pia utalishwa yan kila kitu utapata
Johnjenifarr
Usjali wala usiwe na haraka na mambo hayo yapo tuu… one day yess❤❤👍
Madadi.mohammedi
Aya bhana sema ww utatuacha kwenye chama cha ubachela mda cmrefu maana ushakuwa star watt lazima wa shoboke

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.