Pogba Ahamia Man United Na Kuvunja Rekodi ya Uhamisho ya Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Pogba Ahamia Man United Na Kuvunja Rekodi ya Uhamisho ya Dunia

Manchester United imekamilisha dili la kumsainisha mshambuliaji wa Juventus, Paul Pogba kwa uhamisho unaovunja rekodi ya dunia, paundi milioni 100.

Mtandao wa Daily Mirror umeripoti kuwa United imekubali kuwalipa Juventus kiasi hicho kikubwa cha fedha ili kumchukua staa huyo wa Ufaransa kwa mkataba wa miaka mitano atakaokuwa akilipwa £210,000 kwa wiki.

Kocha wa United, Jose Mourinho, alihakikisha kuwa Pogba anajiunga na timu yake baada ya kuisaidia timu yake ya taifa Ufaransa kuingia fainali ya kombe la Euro 2016.

Chini ni uhamisho mwingine uliokuwa wa gharama zaidi katika soka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.