Petit Man na Esma Platnumz Warudiana Kwa Kishindo Kikubwa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Petit Man na Esma Platnumz Warudiana Kwa Kishindo Kikubwa.

Meneja wa wasanii wa bongo fleva maarufu Tanzania kama Petit Man na mama mtoto wake ambaye ni dada wa Damu wa Diamond Platnumz wamerudiana na kuweka wazi kuwa wameziba viraka na kuzima simu mbovu.

Kwenye show yao iliyofanyika Club Bilicanas Dar es salaam, Petit alipanda jukwaani na kusema “Tunaziba viraka, kama unajua ulikuwa unachepuka na mimi basi ujume mama karudi” Petit Man na Esma wana mtoto mmoja pamoja ‘Taraj’.

-sammisago

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.