MOSHI, Zimebaki Siku 2 Tu Kushuhudia Bonge la Tukio Pale Kili Home. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MOSHI, Zimebaki Siku 2 Tu Kushuhudia Bonge la Tukio Pale Kili Home.

Shindano la Miss Kilimanjaro 2016 limefikia patamu ikiwa ni siku 2 zimebaki kufikia fainali siku ya tarehe 22 Julai yaani Ijumaa ya wiki hii katika viwanja vya Kili Home, Moshi. 

Kutakuwa na Burudani kibao kutoka kwa Navy Kenzo, Makomando na wasanii mbalimbali kutoka Moshi bila kusahau kuwa MC wa Show nzima atakuwa ni mchekeshaji Masanja Mkandamizaji. 

Kiingilio ni VIP A = 40,000 , VIP B = 30,000 na KAWAIDA = 20,000 Tu.

Njoo na Marafiki Tuje Kukamatia Chini Hadi Kieleweke Huku Tulika Bonge la Bata. Usijaribu Kukosa Hii Maana Utajuta Sana Ukisimuliwa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.