MOSHI, Upo Tayari Kukamatia Chini na Kujua Wanachezaje pia Kukandamiza Burudani ? Soma Hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MOSHI, Upo Tayari Kukamatia Chini na Kujua Wanachezaje pia Kukandamiza Burudani ? Soma Hii.

Ijumaa ya Tarehe 22 Julai ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wakazi wa mji wa Moshi kushuhudia tukio kubwa la Kihistoria la kumpata Miss Kilimanjaro litakalofanyika katika viwanja vya Kili Home, Moshi. Wasanii mbalimbali watalipamba tukio hili wakiwemo Navy Kenzo, Makomando na wasanii kutoka Moshi pia Mc wa Show hio Masanja Mkandamizaji.  Kiingilio ni VIP A = 40,000 , VIP B = 30,000 na KAWAIDA = 20,000
Tazama moja ya video yao ya ngoma - Kamatia Chini 


Wasanii wengine watakaotoa Show siku hii ni pamoja na na Makomando.
Tazama moja ya video ya Makomando ngoma - Wanachezaje ?

Huku MC/Mwongozaji wa shughuli nzima ya kesho akiwa ni mchekeshaji maarufu Masanja Mkandamizaji.
Moja ya Clip za Masanja Mkandamizaji Akiwa Nchini Scotland: 
 USIJARIBU KUKOSA SHOW HII YA KIHISTORIA KATIKA MKOA WA KILIMANJARO. 
Njoo Wewe na Marafiki Tukamatie Chini Hadi Kieleweke. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.