Kumbe Video Mpya Ya Diamond Ame Copy Kutoka Kwenye Video Hizi Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kumbe Video Mpya Ya Diamond Ame Copy Kutoka Kwenye Video Hizi Hapa.

Baada ya Diamond Platnumz kuachia video ya aliyowashirikisha kina P Square, watu wengi wameikosoa video hiyo kuwa ni Copy and Paste kutoka kwa wasanii wa Marekani. Tazama video hapa chini kuona namna wanavyofananisha.
Baada ya taarifa kusambaa kuwa Diamond Platnumz amefanya Copy and Paste, meneja wake Sallam ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.