Koffi Olomide akamatwa DR Congo na Kuhukumiwa Kifungo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Koffi Olomide akamatwa DR Congo na Kuhukumiwa Kifungo


KINSHASA, CONGO: Mahakama imemhukumu Mwanamuziki Koffi Olomide, miezi 18 jela kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike wiki iliyopita.
Hukumu yake hiyo haina adhabu mbadala ya kulipa faini kwa hiyo atatakiwa kutumikia hiyo miezi 18 jela.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.