Jux Afunguka Maneno Haya Kuhusu Ex Wake 'Jackie Cliff' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jux Afunguka Maneno Haya Kuhusu Ex Wake 'Jackie Cliff'

Muimbaji wa muziki wa R&B, Jux amefunguka juu ya mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake Jackie Cliff.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM kuwa yeye bado kijana mdogo ndiyo maana ameingia kwenye mahusiano mengine.

“Ni kweli kapata matatizo, lakini mimi nimesha move on nipo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Mimi ni kijana mdogo acha tu niendelee na maisha yangu mengine,” amesema Jux.

Kwa sasa Jux ameachia wimbo wake mpya ‘Wivu’ ambao umeanza kufanya vizuri kwenye kwenye redio.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.