Joh Makini Afunguka Kuhusu Kolabo Yake na Davido, Inatoka Lini na Davido Kuimba Kiswahili. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Joh Makini Afunguka Kuhusu Kolabo Yake na Davido, Inatoka Lini na Davido Kuimba Kiswahili.

Kama uliwahi kuisikia hii ya Rapper wa kitanzania Joh Makini kuja na kolabo ya kimataifa na hit maker wa single ya Fans Me aliyo mshirikisha Meek Mill kutoka marekani, Davido hii ni exclusive nakupa kwamba nyimbo hiyo iko mbioni kutoka hivi karibuni.Akihojiwa katika The Base ya ITV rapper Joh Makini amelithibitisha hilo na akatuhabarisha kuwa kitu kizuri katika nyimbo hiyo ni kwamba Davido ameimba kiswahili kwenye chorus nzima ya nyimbo hiyo. Ni jambo zuri na lenye faida kwetu na kwake pia ambapo kwa upande wake itamuongezea mashabiki na watu wanaosikiliza muziki wake kwa ukanda huu unaozungumza lugha ya kiswahili.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.