Jionee Sura ya Saint West Mtoto wa Kim Kardashian na Kanye West. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jionee Sura ya Saint West Mtoto wa Kim Kardashian na Kanye West.

MKE wa rapa maarufu Kanye West kutoka Marekani, Kim Kardashian amemuonesha mtoto wao Saint West kwa mara ya kwanza mbele ya umati.

Kim amemwonesha mwanaye huyo wa pili mwenye umri wa miezi saba wakati wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians kinachoruka kwenye runika kikielezea maisha halisi ya Kim Kardashian na familia yake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.