Davido Kusomesha Wanafunzi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Davido Kusomesha Wanafunzi.

STAA wa muziki kutoka Naija, David Adeleke ‘Davido’ amesema kuwa ameingia rasmi katika kusomesha wanafunzi ili waweze kujikwamua kimaisha.

Davido ambaye baba yake naye alishawahi kusomesha wanafunzi 200 miaka ya nyuma, alisema kuwa mipango yake ni kusomesha wanafunzi kupitia mradi maalum wa mama yake, Veronica. “Vijana wengi wanastahili kupata elimu.

Mwaka huu nitaanza kusomesha wanafunzi kupitia mradi wa mama yangu uitwao Veronica Education Scholarship Program. Nitakuwa nawasomesha wanafunzi bure kila mwaka. Mwaka huu nitaanza na wanafunzi wanne,” alisema Davido.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.