Bei na Siku Inayotoka PlayStation 4 Toleo la ‘Neo’ Zimetajwa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bei na Siku Inayotoka PlayStation 4 Toleo la ‘Neo’ Zimetajwa.

Mtandao wa Amazon Spain umevujisha tarehe ya bei ya game mpya ya Play Station 4 toleo la Neo.
Sony wamekuwa wasiri kuhusu ujio wa PlayStation 4 — code-named Neo kwa muda sas ala imegundulika kuwa game hii itakuwa madukani mwezi October 13,2016 kwa mujibu wa Entertainment.ie. na itauzwa Euros 400 ambazo ni kama dola $450 za Kimarekani, Bongo itakuwa Milioni moja.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.