AliKiba Ameamua Kuwapa Mashabiki Zake Haki Yao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AliKiba Ameamua Kuwapa Mashabiki Zake Haki Yao.

Baada ya kuvuja kwa ngoma ya #aje ambayo sauti ya rapa mnigeria #MI ilisikika Alikiba aliamua kutoa ngoma hiyo Rasmi ikiwa haina sauti ya rapa huyo kwa sababu ambazo alisema ni kuingiliana kwa ratiba zake na M.I .

Kwa mujibu wa #Kiba ni kuwa wimbo uliovuja ulikuwa #Demo (maana yake haujakamilika kufanyiwa #mixingi,#mastering n.k) Hata hivyo mashabiki bado waliendelea kuupenda na kuwa nao katika simu zao ,wengine wakikariri hadi mashairi ya M.I.

Sasa alikiba ameamua kuwasikiliza mashabiki na amekwenda kushoot video ya wimbo. Taarifa zaidi zinaeleza safari waliyokwenda na #BarakaDaPrince kushoot video yao ya pamoja ndiyo pia aliyoitumia pia kushoot video hii aliyoipa jina la #AjeRemix.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.