Album Mpya ya Diamond Platnumz Yanukia, Hii Ndio Dalili. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Album Mpya ya Diamond Platnumz Yanukia, Hii Ndio Dalili.

Kuna uwezekano mkubwa kuwa Diamond anajiandaa kuachia album yake mpya.
Meneja wa staa huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini ametupa hint kuwa santuri mpya ya msanii wake ipo njiani kuja. Sallam Sharaff amepost picha hiyo chini na kuandika kwa maneno yanayotafsiriwa kwa Kiswahili ‘hii ni tarehe sahihi ya kuachia album.’

Kwa sasa muimbaji huyo anafanya vizuri na wimbo wake Kidogo aliowashirikisha P-Square. Video ya wimbo huo hadi sasa ina zaidi ya views milioni 2.2 kwenye Youtube.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.