Adele na Beyoncé Kuchuana Kwenye Tuzo za Emmy Mwaka Huu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Adele na Beyoncé Kuchuana Kwenye Tuzo za Emmy Mwaka Huu.

Beyoncé ameng’ara kwenye tuzo za Emmy baada ya album yake ya LEMONADEkutajwa kuwania tuzo nne kwenye tuzo hizi za 68th za Emmy.

Ukiacha album ya Beyoncé LEMONADE pia album ya Adele “Live in New York City” pia ametajwa kuwania tuzo nne mwaka huu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.