Zitto Kabwe Ajitokeza Adai Polisi Wanamsaka, Asema Haya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zitto Kabwe Ajitokeza Adai Polisi Wanamsaka, Asema Haya

DAR: Zitto Kabwe ajitokeza, adai Polisi wanamsaka. Asema Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani.
Ataka CCM imdhibiti Rais Magufuli, asema wakishindwa wao wapinzani watamdhibiti.


-JF

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.