Video: Wacheki Lulu na Majay Walipohudhuria Harusi Pamoja Kama Mr and Mrs - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Wacheki Lulu na Majay Walipohudhuria Harusi Pamoja Kama Mr and Mrs

Kwa sasa sio siri tena kua Lulu msanii kutoka bongo movies anatoka kimapenzi na Majay msimamizi wa EFM Radio ya Dar. Kwa mara ya kwanza wawili hao waliweka uhusiano wa wazi wakiwa nchini Nigeria ambako Lulu siku hiyo alishinda tuzo moja.

Baada ya kurudi Bongo penzi lao lilikua la kificho ila siku za karibuni wameonekana kwenye viwanja vya starehe wakiwa pamoja. Na hapa juzi tu Lulu na penzi wake huyo walihudhuria harusi wakiwa kama couple na Lulu hakuficha jambo hilo kwani aliupload video ikiwaonyesha wakiwa pamoja huku wakionekana wanapendana sana. Unaweza tazama video ya wawili hao hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.