Video: Nuh Mziwanda Athibitisha Jike Shupa Alimuimbia Shilole, Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Nuh Mziwanda Athibitisha Jike Shupa Alimuimbia Shilole, Jionee Hapa

Nuh Mziwanda ameelezea jinsi uhusiano wake na Shilole ulivyokuwa kwa dakika 3:50!
Kwa video ya wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alikiba, Nuh ameuelezea uhusiano huo ulitawaliwa na mateso, wivu uliokithiri, kichapo na tabu za kila aina.
Kuthibitisha kuwa wimbo huo unamlenga ex wake, amemtumia msichana anayefanana copyright na Shilole. Kwenye video hiyo pia Nuh hakuacha kuonesha tattoo ambazo Shilole alizichora enzi wakiwa wakiwa wapenzi.
Kushoto ni Shilole real. Kulia ni video queen kwenye Jike Shupa

Nuh amemuonesha msichana huyo kama mjeuri na ambaye wakati mwingine anarudi nyumbani akiwa chakari. Ni video nzuri, icheck hapo chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.