Video : Jionee Diamond Platnumz Akicheza Kigodoro Nyumbani Kwake, Noma sana. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video : Jionee Diamond Platnumz Akicheza Kigodoro Nyumbani Kwake, Noma sana.


Kwa wakazi wa Dar na mikoa ya pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza mitaa mingi ya Dar lazma utakuta sehemu au ndani ya bodaboda au bajaji wakipiga singeli.

Japo haupigwi sana katika vituo vingi vya radio ila watu wengi waukubali sana. Siku chache zilizopita msanii Diamond Platnumz aliandaa party nyumbani kwake ya kumkaribisha msanii mwenzake Rich Mavoko katika Label ya WCB. Na katika party hiyo Diamond alionekana akicheza kwa furaha mziki aina ya kisingeli kama ambavyo utaona katika video hii hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.