Trace TV wamezitaja video mbili kutoka East Africa kwenye Urban Hit 10 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Trace TV wamezitaja video mbili kutoka East Africa kwenye Urban Hit 10

Ni kazi yangu kukusogeze hit zote ambazo zinafanya vizuri kwenye vituo vikubwa vya TV Africa June 17 2016, Trace TV wamezitaja video mbili tukutoka East Africa ambazo zimeingia kwenye Top 10 ya Urban Hit 10, pia usisahau kuniachia comment yako kwenye list ya hii midundo kumi ilitajwa na Trace TV kwenye Urban Hits 10.

Vanessa Mdee kutoka Tanzania na Sauti Sol kutoka Kenya ndio wanaiwakisha East Africa kwenye chat hizo za Urban Hit kupitia Trace TV, nakusogezea list hapa chini.
IMG-20160617-WA0033
IMG-20160617-WA0036
IMG-20160617-WA0042
IMG-20160617-WA0038
IMG-20160617-WA0041
IMG-20160617-WA0035
IMG-20160617-WA0037
20160617_235755 (1)
IMG-20160617-WA0034
IMG-20160617-WA0039
-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.