SIRI: Una Biashara na Ungependa Kuikuza na Kuongeza Mauzo ? Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

SIRI: Una Biashara na Ungependa Kuikuza na Kuongeza Mauzo ? Soma Hapa

Bongo Swaggz Media kupitia blog yetu www.bongoswaggz.com , Facebook na Instagram page zetu tuna zaidi ya wasomaji zaidi ya 700,000 kwa mwezi ambao pia wanaweza kuwa wateja wa bidhaa/huduma unayotoa na ukawafikia kwa kutangaza nasi kwa Bei nafuu kabisa na kwa ufanisi na kujionea tofauti. 
Sababu ya kutangaza nasi ni:
- Tunawafikia watu wengi zaidi kwa mara moja na kwa haraka.
- Ujumbe wako utafika bila kuchelewa na kwa ufasaha mkubwa ukiwa na maelezo yote ya msingi.
- Tuna Uzoefu wa kutangaza biashara/huduma.
- Tunaamini soko lako ni la vijana na watu wa umri wa kati ambao NDIO haswa wasomaji wakuu wa habari zetu.
- Bei zetu ni nafuu na zinalingana na thamani ya huduma tutakayokupa.
- Tunashirikiana kikamilifu na mteja kwenye ushauri wa nini kinafaa na nini sio ili kufikia malengo ya tangazo na mauzo.

Wasiliana nasi sasa...Karibu sana.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.