Roma: Ualimu Haikuwa Hobby Yangu, Nilifundisha Basi Tu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Roma: Ualimu Haikuwa Hobby Yangu, Nilifundisha Basi Tu

Hivi unafahamu kuwa mwanamuziki Roma Mkatoliki aliwahi kuwa mwalimu wa shule ya sekondari ?
Mkali huyo wa hip hop ameyazungumzia maisha yake kipindi anafundisha shule ya sekondari kwao mkoani Tanga.

Akizungumza kwenye ‘Umeinyaka’ ya kipindi cha Ladha 3600 cha EFM, Mkatoliki amesema, “nilikuwa na wakati mgumu sana hasa kwa wanafunzi niliokuwa nawafundisha, wengine ilifikia hatua ya kuniandikia mistari katika baadhi ya masomo niliyokuwa nafundisha ikiwemo Mathematics na Geography.”

“Mimi kuwa teacher haikuwa hobby yangu sema maisha ndio yalinibidi nikimbilie huko.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.