Exclusive Video: Hatimaye Diamond Platnumz Amkaribisha na Kumtambulisha Rich Mavoko Chini Ya WCB Wasafi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Exclusive Video: Hatimaye Diamond Platnumz Amkaribisha na Kumtambulisha Rich Mavoko Chini Ya WCB Wasafi.

Imetimia ! Leo ni siku kubwa na muhimu sana kwa Label ya WCB Wasafi.  Zimekuwepo tetesi nyingi sana kuhusu tukio hili ila sasa imekuwa kweli na rasmi utambulisho wa msanii mpya wa WCB Wasafi baada ya Harmonize na Raymond ambaye sio mgeni kwenye muziki wa bongo fleva pia kwa mashabiki naye ni Rich Mavoko ambae kwa sasa atakuwa chini ya label hii kubwa ya music Tanzania . Diamond Platnumz amemkaribisha Mavoko kama unavyoweza kujionea hapo chini..

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.