Picha: Huyu Ndie Mpenzi Mpya wa Nuh Mziwanda Kajichora Tatoo ya Nuh Pia. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Huyu Ndie Mpenzi Mpya wa Nuh Mziwanda Kajichora Tatoo ya Nuh Pia.

Baada ya Shilole kujichora tatoo ya Nuh Mziwanda enzi alipokuwa mpenzi wake, mpenzi mpya wa muimbaji huyo wa ‘Jike Shupe’, naye kajichora tattoo ya Nuh kwenye mkono wake.

Shilole alichora tatoo lakini baadaye ilikuja kumgharimu walipo achana Nuh. Matokeo yake tatoo hiyo iliyokuwa kifuani Shishi aliibadilisha na kuwa ua, je na huyu naye itakuwaje?

Msichana huyo amejichora kwenye mkono wake ‘NUH MZIWANDA.’ Bado hata hivyo Nuh ana tattoo ya ex wake Shishi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.