Picha: Huu Ndio Muonekano Mpya Wa Msanii Chid Benz, Lazima Uipende Hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Huu Ndio Muonekano Mpya Wa Msanii Chid Benz, Lazima Uipende Hii.

Baada ya misuko suko ya matumizi ya madawa ya kulevya yaliyomfanya rapper Chid Benz kukiri kuwa anahitaji msaada kwenye maisha yake, Hatimaye alipelekwa kufanyiwa matibabu na sasa amerejea uraiani akionekana kuwa na WCB kwamuda mwingi, Usiku wa kuamkia leo picha hizi zimesambaa kuonyesha muonekano wake mpya na Harmonizeameandika “Natamani Mngepata Hata Sekunde 5 Za Kusikiliza Wimbo Mpya Wa Kaka Yangu @officialchidibeenz #Newchidibeenz”
Mwonekano mpya wa Chid Benz.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.