Meno ya Dhahabu Aliyoweka Diamond Platnumz Yana Thamani Ya Bei Hii Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Meno ya Dhahabu Aliyoweka Diamond Platnumz Yana Thamani Ya Bei Hii Hapa.

Msanii Diamond amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.

My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?

Mr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.

Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.