Meninah Afunga Ndoa Tena, Na Mwanaume Mwingine - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Meninah Afunga Ndoa Tena, Na Mwanaume Mwingine

image
Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’ na ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick, amefunga ndoa kwa mara ya pili.
Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika. Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo.
image
Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza kutumia jina la  Abdulkareem. Hadi sasa bado Meninah anatumia jina la Meninah Abdulkareem.
Muimbaji huyo amepost picha ya ndoa yake mpya Instagram na kuandika:
image
Tunamtakia Meninah maisha yenye furaha tele kwenye ndoa yake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.