Magufuli: Wanaopita Kwenye Barabara za Mwendokasi Chomoeni Tairi za Magari Yao Muuze. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Magufuli: Wanaopita Kwenye Barabara za Mwendokasi Chomoeni Tairi za Magari Yao Muuze.


Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria.
Amewataka wachukue magari yao na wapeleke kituoni kisha wachomoe matairi ya watuhumiwa wauze na watakuwa wamepata biashara Msikilize Hapa 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.