Linnah kafunguka kuwa anatamani Darassa angekuwa Baba watoto wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Linnah kafunguka kuwa anatamani Darassa angekuwa Baba watoto wakeJune 13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hizi kutoka Perfecto TV,  mrembo kutoka bongoflevani Linnah amefunguka kuwa anatamani kuwa Rapper Darassa anagekuwa Baba watoto wake.
Naweza ni kasema kuwa kutokana na tabia alizonazo Darassa anastahili kuwa baba maana nimekaa na Darassa kwa muda mfupi lakini nimemkubali sana, nimemuona ni mtu flani ambaye namkubali sana yaani Darassa ana kila kitu amabacho mimi natamani Boyfriend wangu angekuwa nazo’>>>Linnah


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.