Kisa: Mume Kamtegesha Mke Kwa Njemba ili Avute Hela ya Ugoni, Kilichotokea Ni Balaa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kisa: Mume Kamtegesha Mke Kwa Njemba ili Avute Hela ya Ugoni, Kilichotokea Ni Balaa

Hii muvi ilianza hivi kuna jamaa alikuwa anafkuzia mke wa mtu bila kuchoka.
Mke akamwambia mume wakashauriana waweke mtego matata wa kufumania ili mgoni abananishwe atoe pesa maana anazo!

Siku ikawadia mke akakubaliana na jamaa wakutane gesti kama kawaida wako ndani washavua kila kitu mara mara mwenye mke akavamia na jamaa yake ili wamtaiti mgoni!kumbe mgoni mjanja bana akawatolea bastola akawaamuru wafunge mlango afu akawaweka chini ya ulinzi na kuwafunga kamba alafu akaendelea kula mzigo mbele yao hadi akamaliza afu akawafungia wote humo ndani akasepa..Jamaa akajikuta kakosa ela na mkewe katafunwa mbele yake.

Ungefanyaje hapa mdau ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.