Hatimaye Riyama Ally na Leo Mysterio Wafunga Ndoa (Video) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Riyama Ally na Leo Mysterio Wafunga Ndoa (Video)

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Hatimaye muigizaji wa Bongo Fleva, Riyama Ally, na rapper wa muziki wa kizazi kipya, Leo Mysterio, wamefunga ndoa kimya kimya huku video zikisambaa mtandaoni kuonyesha tukio hilo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.