Hatimaye Mwana FA Amefunga Ndoa, Mke Wake Huyu Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Mwana FA Amefunga Ndoa, Mke Wake Huyu Hapa

Hatimaye Mwana FA Amefunga Ndoa, Mke Wake Huyu Hapa
Mwana FA unaona lini? Hatimaye jibu lake limepatikana. Rapper huyo amefunga ndoa Jumapili hii.

Hitmaker huyo wa Asanteni kwa Kuja amefunga ndoa na mchumba wake aitwaye Helga.
Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.