Wema Sepetu Akubali Ndoa na Idris, Asema haya Kuhusu Ndoa yao Itavyokua - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu Akubali Ndoa na Idris, Asema haya Kuhusu Ndoa yao Itavyokua

Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video alipoulizwa na shabiki yake ni lini atafunga ndoa na Idriss.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.