Wanafunzi Chuo Kikuu UDSM Wagoma, Sababu Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wanafunzi Chuo Kikuu UDSM Wagoma, Sababu Ipo Hapa

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) leo wamegoma wakiishinikiza Bodi ya Mikopo(HESLB) kuwapatia fedha zao za kujikimu.

Kwa kawaida wanafunzi hupewa fedha za kujikimu kila baada ya miezi miwili.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.