Video ya Dakika 7 Ikimuonyesha Waziri Kitwanga Akijibu Swali Huku Amelewa Bungeni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video ya Dakika 7 Ikimuonyesha Waziri Kitwanga Akijibu Swali Huku Amelewa Bungeni.

Rais  wa Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania Dr. John P. Magufuli jana alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga  kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.

Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo  akijibu swali huku amelewa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.