Video: Jionee Hapa Wema Sepetu Akipigana Mabusu Ya Ukweli, Kwenye Matayarisho ya Movie Mpya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Jionee Hapa Wema Sepetu Akipigana Mabusu Ya Ukweli, Kwenye Matayarisho ya Movie Mpya.

Ukiwa muigizaji kubali yote. Kuna scenes ambazo zitakuhitaji upigane busu na mtu anayecheza kama mpenzi wako na ili kupata uhalisia wa tukio huna budi kubadilishana mate kwenye screen.
Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram, anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi. 
Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.