Video: Wabunge la Uturuki wazichapa kavukavu bungeni - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Wabunge la Uturuki wazichapa kavukavu bungeni

Bet Sasa


Wabunge wa Bunge la uturuki tarehe 2 Mei 2016 waliamua kuzichapa kavukavu wakiwa bungeni wakiendelea na mjadala.
Wabunge wa Chama tawala cha AKP na wabunge wa upinzani walikuwa wakijadili juu ya kuwaongezea wabunge kinga dhidi ya mahakama kwamba hawatashtakiwa.
Vurugu hizi zilianzia katika katika chumba cha kamati ambapo walikuwa wakijadili mswada huu baada ya wabunge kuingia na kujazana humo.
Wabunge walianza kurushiana makonde na wengine mateke baada ya kushindwa kufikia muafaka juu ya mswada huo ulikuwa ukijadiliwa. Wale ambao hawakuwa wakiweza kurusha ngumi na mateke wao waliamua kumwaga maji.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.